JINSI IMANI YAKO INAVYOWEZA KUHARIBIWA
Bwana Yesu asifiwe!
Mda mwingine tena saa ingine tena. Ninakushukuru mfalme. Ninakushukuru Mungu wetu kwa kutupatia mda tena machoni pako. Ninakushukuru Mungu. Roho mtakatifu huu ni wakati wako. Naomba uchukue nafasi yako ili tuweze kukusia. Katika jina la Yesu Kristo. Ameen
Message: "JINSI IMANI YAKO INAVYOWEZA KUHARIBIWA"
Luka 18:8-14
18:8 Nawaambieni atawatetea upesi. Hata hivyo, je, kutakuwako na imani duniani wakati Mwana wa Mtu atakapokuja?"
18:9 Halafu Yesu aliwaambia pia mfano wa wale ambao walijiona kuwa wema na kuwadharau wengine.
18:8 "Watu wawili walipanda kwenda Hekaluni kusali: mmoja Mfarisayo, na mwingine mtoza ushuru.
18:11 Huyo Mfarisayo akasimama, akasali kimoyomoyo: `Ee Mungu, nakushukuru kwa vile mimi si kama watu wengine: walafi, wadanganyifu au wazinzi. Nakushukuru kwamba mimi si kama huyu mtoza ushuru.
18:12 Nafunga mara mbili kwa juma, natoa zaka sehemu ya kumi ya pato langu.`
18:13 Lakini yule mtoza ushuru, akiwa amesimama kwa mbali bila hata kuinua macho yake mbinguni, ila tu akijipiga kifua kwa huzuni, alisema: `Ee Mungu, unionee huruma mimi mwenye dhambi.`
18:14 Nawaambieni, huyu mtoza ushuru alirudi nyumbani akiwa amesamehewa. Lakini yule mwingine, sivyo. Kwa maana kila anayejikweza atashushwa, na kila anayejishusha atakwezwa."
BwanaYesu asifiwe leo tuangalie jinsi imani ya mtu inavyoweza kuharibiwa. Kuna kuitafuta imani na kuilinda imani. Baada ya kufanikiwa kuiweka imani yako katika matendo. Sio mwisho wa vita vyako na ibilisi. Mwingine anaweza kusema kuusu imani nishavuka huko sihitaji kujifunza zaidi. Mpendwa usikimbilie huko. Ukimshinda ibilisi hatua moja hatua inayofuata lazima ujue atainua vita nyingine. Ivo lazima ujiandae. Na ujue vita vinatoka wap? Unajua hamna kitu hatari kupigana na adui humuoni na si tuu umuoni bali pia hujui silaha anayotumia. Unabaki kupigana naye kwenye maombi katika matokeo ya vita badala chanzo cha vita. Hasara mojawapo ya kupoteza imani ni kuharibiwa mambo yote uliyoyaomba kwa imani na Mungu alikupa sababu ya imani kitu ulichopata kwa imani utakilinda kwa imani. Imani ukiondoka kwa kuwa wakati unapata ulimshinda shetani sasa itakuwa ni wakati wake kulipisha. Ivo linda sana imani upunguze maadui. Halleluyah halleluyah
Tuendelee kuangalia maandiko:
2NYAKATI 14:11-12
11 Naye Asa akamlilia Bwana, Mungu wake, akasema, Bwana, hapana kuliko wewe aliye wa kusaidia, kati yake yeye aliye hodari, na yeye asiye na nguvu; utusaidie, Ee Bwana, Mungu wetu; kwa kuwa sisi twakutegemea wewe, na kwa jina lako tumekuja juu ya jamii kubwa hii. Ee Bwana, wewe ndiwe Mungu wetu, asikushinde mwanadamu.
12 Basi, Bwana akawapiga
Wakushi mbele ya Asa, na mbele ya Yuda; na Wakushi wakakimbia.
2 mambo ya nyakati 15
1 Ndipo roho ya Mungu ikamjia Azaria mwana wa Odedi;
2 naye akatoka ili amlaki Asa, akamwambia, Nisikieni, Ee Asa, na Yuda wote na Benyamini; BWANA yu pamoja nanyi, mkiwa pamoja naye; nanyi mkimtafuta ataonekana kwenu; lakini mkimwacha atawaacha ninyi.
3 Basi tangu siku nyingi Israeli wamekuwa hawana Mungu wa kweli, wala hawana kuhani afundishaye, wala hawana torati;
4 lakini walipomgeukia BWANA, Mungu wa Israeli, katika msiba wao, na kumtafuta, akaonekana kwao.
5 Hata na zamani zile hakukuwa na amani kwake atokaye, wala kwake aingiaye, ila fadhaa kubwa juu yao wote wakaao katika nchi.
6 Wakavunjika-vunjika, taifa juu ya taifa, na mji juu ya mji; kwani Mungu aliwafadhaisha kwa shida zote.
7 Nanyi jipeni nguvu, wala mikono yenu isilegee; kwa maana kazi yenu itakuwa na ijara.
8 Naye Asa alipoyasikia maneno hayo, yaani, unabii wa mwana wa Odedi nabii, akatiwa nguvu, akayaondolea mbali machukizo yote katika nchi ya Yuda na Benyamini, na katika miji aliyoitwaa milimani mwa Efraimu; akaifanyiza tena madhabahu ya BWANA, iliyokuwako mbele ya ukumbi wa BWANA.
9 Akakusanya Yuda wote na Benyamini, na hao wageni waliokaa kwao, wa Efraimu, na wa Manase, na wa Simeoni; kwa kuwa walimwangukia wengi katika Israeli, walipoona kwamba BWANA, Mungu wake, alikuwa pamoja naye.
10 Basi wakakusanyika huko Yerusalemu mwezi wa tatu, katika mwaka wa kumi na tano wa kumiliki kwake Asa.
11 Wakamchinjia BWANA siku ile, katika nyara walizozileta, dhabihu za ng’ombe mia saba, na kondoo elfu saba.
12 Wakafanya agano, ya kuwa watamtafuta BWANA, Mungu wa baba zao, kwa mioyo yao yote, na kwa roho zao zote;
13 na ya kwamba ye yote asiyemtafuta BWANA, Mungu wa Israeli, atauawa, akiwa mdogo au mkubwa, kwamba ni mwanamume au mwanamke.
14 Wakamwapia BWANA kwa sauti kuu, na kwa kelele, na kwa mapanda, na kwa baragumu.
15 Na Yuda wote wakakifurahia kile kiapo; kwani wameapa kwa moyo wao wote, na kumtafuta kwa mapenzi yao pia; naye ameonekana kwao; naye BWANA akawastarehesha pande zote.
16 Hata na Maaka mamaye Asa, mfalme akamwondolea daraja yake asiwe malkia, kwa kuwa amefanya sanamu ya kuchukiza kwa Ashera; basi Asa akaikata sanamu yake, akaiponda, akaiteketeza penye kijito cha Kidroni.
17 Lakini mahali pa juu hapakuondolewa katika Israeli; ila moyo wake Asa ulikuwa mkamilifu siku zake zote.
18 Akavileta nyumbani mwa Mungu vitu alivyovitakasa babaye, na vile alivyovitakasa mwenyewe, fedha, na dhahabu, na vyombo.
19 Wala hapakuwa na vita tena hata mwaka wa thelathini na tano wa kutawala kwake Asa.
mambo ya nyakati 16
1 Katika mwaka wa thelathini na sita wa kutawala kwake Asa, Baasha mfalme wa Israeli akapanda juu ya Yuda, akaujenga Rama, ili asimwache mtu ye yote kutoka wala kuingia kwa Asa mfalme wa Yuda.
2 Ndipo Asa akatoa fedha na dhahabu katika hazina za nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme, akampelekea Ben-hadadi mfalme wa Shamu, aliyekaa Dameski, akasema,
3 Kwangu na kwako na liwe agano kama lilivyokuwa kwa baba yangu na baba yako; angalia, nimekuletea fedha na dhahabu; basi, uvunje agano lako na Baasha, mfalme wa Israeli, ili aniondokee mimi.
4 Naye Ben-hadadi akamsikiliza mfalme Asa, akawapeleka maakida wa majeshi yake juu ya miji ya Israeli; wakapiga Iyoni, na Dani, na Abel-maimu, na miji ya hazina yote ya Naftali.
5 Ikawa Baasha aliposikia habari hiyo, akaacha kuujenga Rama, akaikomesha kazi yake.
6 Ndipo mfalme Asa akawatwaa Yuda wote; nao wakayachukua mawe ya Rama, na miti yake, aliyoijengea Baasha; naye akajenga kwa vitu hivyo Geba na Mispa.
7 Wakati ule Hanani mwonaji akamwendea Asa mfalme wa Yuda, akamwambia, Kwa kuwa umemtegemea mfalme wa Shamu, wala hukumtegemea BWANA, Mungu wako, kwa hiyo limeokoka jeshi la mfalme wa Shamu mkononi mwako.
8 Je! Hao Wakushi na Walubi hawakuwa jeshi kubwa mno, wenye magari na wapanda farasi wengi sana? Lakini, kwa kuwa ulimtegemea BWANA, aliwatia mkononi mwako.
9 Kwa maana macho ya BWANA hukimbia-kimbia duniani mwote, ili ajionyeshe mwenye nguvu kwa ajili ya hao, waliokamilika moyo kuelekea kwake. Kwa hayo umetenda upumbavu; kwani tangu sasa utakuwa na vita.
10 Ndipo Asa akamkasirikia mwonaji, akamtia nyumbani mwa mkatale; maana amemghadhibikia kwa sababu ya neno hilo. Na Asa akawaonea baadhi ya watu wakati ule ule.Ugonjwa na Kifo cha Mfalme Asa
11 Na tazama, mambo yake Asa, ya kwanza na ya mwisho, angalia, yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Yuda na Israeli.
12 Akashikwa Asa na ugonjwa wa miguu katika mwaka wa thelathini na kenda wa kumiliki kwake; ugonjwa wake ukazidi sana; lakini hakumtafuta BWANA katika ugonjwa wake, bali waganga.
13 Asa akalala na babaze, akafa katika mwaka wa arobaini na mmoja wa kumiliki kwake.
14 Wakamzika katika makaburi yake mwenyewe, aliyojichimbia katika mji wa Daudi, wakamlaza juu ya kitanda kilichojazwa manukato, na kila namna ya machanganyiko ya hao mafundi wa dawa; wakamfukizia mafukizo makuu sana.
Nitaelezea vitabu viwili katika
"Jinsi imani yako inavyoharibiwa" nitaelezea katika situation ya kutafuta imani yako unaweza kupoteza pia hata icho kidogo ulicho nacho. Na nitaelezea katika situation ya baada ya kufanikiwa kupata imani yako. Baada ya kufanikiwa kuipata na Mungu kukuinua.
Luka 18:8-
Biblia inasema kilikuwa na mfarisayo na mtoza ushuru. Ukichunguza vizuri utaona kwamba wote walikua na imani lakini imani kubwa au dogo biblia haikasema kutoa sadaka,kufunga hayo ni matendo ya imani. Lakini farisayo baada ya kuona amefanikiwa akajiinua mbelea za Mungu. Na hii inatokea sana kwa wakristo wengi. Mungu akishawawezesha kuomba kwa kubugujika. Mungu akiwezesha kutoa mafungu ya kumi. Mungu akiwawezesha kutoa msaada kwa wahitaji wa Mungu. Shetani kuna kitu anatumia kinaitwa "sifa" na kuona ya kwamba yale yote anayoyafanya ni sababu yako yeye ndio amesababisha. Shetani atamuinulia kiburi na kuanza kuona wengine hawana. Wengine hawamjui Mungu. Hata vitu vyote vya imani anavyofanya ataanza kuona ni yeye anafanya. Na sio Jehova anafanya. Ataanza kuona wengine hawajui kuomba hawajui kufunga hawajui kufunga ivo hawamjui Mungu. Au Mungu hawezi kuwasikiza kwa kuwa yeye anafanya matendo ya imani. Na wao hawafanyi.Pengine kujitenga nao. Pengine kuwabagua. Kumbuka hapo tayari umeenda kinyume na maandiko. Maana aliye kuwezesha wewe atawawezesha na wao.Mwingine anaanza tena na kuona mchungaji hajui. Au mchungaji huyu hajasoma. Hajui vitu navyojua mimi. Mpendwa hayo ni matendo ya kiburi. Matendo ya kujiinua. Matendo ya kunyooshea vidole masihi ya Mungu. Na biblia imekataza kwa hapo automatically umeenda kinyume na sheria ya imani. Na baada ya mda unashangaa mbona naanza kurudi nyuma. Kumbe shetani alitumia kiburi kukuangusha. Alitumia sifa. Alitumia ubinafsi kukuangusha katika imani yako. Situation ya pili ya imani kubomoka Kitabu cha nyakati wa pili kinaelezea mfalme Asa aliyekuwa mtu wa imani sana. Mtu aliyemcha Mungu. Na Mungu alimpenda na kila alipokuwa akiomba Mungu alimtekelezea kama unavyoona nyakati wa pili 15:2-17 aliomba juu ya maadui na wakapigwa. Ufalme wake uliheshimika sana na mataifa mengi sababu ya busara na hekima alizokuwa nazo. Alikuwa ni mtu wa imani na mcha Mungu. Mtu huyu mimi namfananisha na Ayubu. Jinsi alivyoishi maisha ya uchaji. Alikuwa mtu wa imani sana hata taifa lake lilipokuwa linapata vitisho yeye hakufanya kama wafalme wengine bali yeye alimlilia Jehova naye Mungu alimpigania.. Yes ukiwa mtu wa imani ukiwa na uchaji mbele za Mungu lile neno kutoka 14:14 litakuwa hai katika maisha yako. Biblia inasema Mungu alimbariki na fedha na dhahabu na chakula na majeshi na vyote vitu vizuri anatakiwa kuwa navyo mfalme. Ikawa siku moja nabii Azaria alionyeshwa na Mungu juu Mungu kuwapiga wana wa israeli wasipo acha kuabudu miungu mingine. Naye mfalme Asa akasikia akawakusanya watu wakamtolea Mungu dhabihu ya ngombe saba. Na wakafanya agano ya kuwa watamfuta Bwana Mungu wa baba zao. Na asiyemtafuta Mungu Baba atauawa. Hapo tunaona jinsi mtu huyu alipokuwa na imani kubwa alivyokuwa na maisha ya uchaji.
Mlango wa 16
Hapo ndipo kwenye point ya kuchukua biblia inasema Mfalme Asa alichukua fedha na dhahabu katika hazina ya Bwana na kumpelekea Mfalme Ben wa Shamu akaweka agano na mfalme Ben ili amsaidie kupigana vita na adui yake mfalme Baasha, Biblia inasema aliposikia hayo akaacha kujenga Ngome kwa ajili ya kukabiliana na mfalme Asa. Baadaye Nabii Hanani akamwambia umtegemea Mfalme shamu badala ya Mungu. Na kumbe lile jaribu lilikuwa kwa ajili ya kutanua mipaka yake. Kumuongezea majeshi. Na baada ya kuona ameshindwa Asa akamkasirikia nabii na kamfunga. Lakini mwisho wa siku Asa alipata ugonjwa na kufa. Wapendwa hapa tunajifunza baraka tunazobarikiwa au mafanikio tunayopata yanaweza kuharibu imani yako. Bwana Yesu asifiwe.
Muhimu kuilinda imani yako.Mungu kukujibu kila uopambapo kusikufanye udharau na kuona Mungu ni wa kawaida au lazima atanijibu tuu. Mungu si wa kawaida wala hachunguziki. Kusikujengee mazoea hata kidogo.Hakuna kitu kibaya kwenye imani kama mazoea. Asa alijenga mazoea na Mungu baada ya kuinuliwa. Baada ya kuona ana ulinzi. Baada ya kubarikiwa.Aliona kumcha Mungu ni kitu cha mazoea tuu. Kumtegemea Mungu ni kitu cha mazoea. Mazoea huaribu imani yako. Mazoea huleta ukawaida. Ukiwa na mazoea utaanza hata kumtabiria Mungu. Mazoea yanauwa kabisa imani yako. Mazoea yanakufanya ushindwe kusikia kwa Mungu. Ushindwe mtii Mungu. Ukiwa na mazoea ile hofu ya Mungu itakuondoka. Ukiwa na mazoea hutajisumbua kufunga. Hutajisumbua kusali. Ukiaza kufanikiwa kuna roho ya mazoea usipokuwa mwangalifu itapiga imani yako. Ni vitu vya kawaida kabisa lakini huharibu imani. Ukiwa na mazoea huwezi tena hata kumsikiza mchungaji wako. Epuka mazoea baada ya kuinuliwa maana huharibu imani yako. Jichunguze leo nini kinakuharibu imani yako jina lake Mungu wetu libarikiwe.
Josephntandu@gmail.com,0713297066

Good
ReplyDeleteAmeni
ReplyDelete