"KADIRI WALIVYOZIDISHWA, KWA KADIRI IYO HIYO WALINITENDA DHAMBI"
Somo: "Kadiri walivyozidishwa, kwa kadiri iyo hiyo walinitenda dhambi"
Bwana Yesu asifiwe Sana!
Hosea 4-6
Ameanza kwa kusema;
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, kwa kuwa umeyakataa maarifa yangu, Mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu Mimi, kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, Mimi nami nitawasahau watoto wako.
*tuanze hapo kwanza anasema watu wangu wanaangamizwa, sio wanaangamia no! Wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. Anazumgumzia kwanini wanakosa maarifa je ni makosa ya Mungu hapana.
Ni makosa Yao wenyewe. Anasema kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa ya Mungu, anasema Mimi nami nimekukataa wewe! Bwana Yesu asifiwe asubuhi hii! Kumbe kuangamizwa huku ni sababu wewe umeyakataa maarifa ya Mungu. Na Sababu umeyakataa na Mungu naye amekukataa wewe!
Si wewe tuu na hata watoto wako. You can imagine matizo yako yanaanzia wap? Ndoa kutokua na amani inaanzia wap? Kuzungukwa na madeni kunaanzia wap? Magonjwa yaanzia wap? Kukaliwa na wachawi kushindwa kupata kazi, kushindwa kufanya biashara, kushindwa kuwa huru katika kusoma biblia, kuomba,
kuwa na muendelezo wa kiroho chako, kurudi Rudi nyuma kiroho, kimaendeleo, misuguano, misukosuko, mikosi, balaa, shida taabu, kutokuwa na kibali. Kushindwa kuendelea mbele, kutokuwa na muendelezo wa kufikia hatima yako, kila Mara unaanza mwanzo. Na mambo mengiii you can imagine matatizo yanaanzia wap?
Kutokuwa na uhuru wa nafsi you can imagine matatizo yanaanzia wap? Tatizo sio kuangamizwa. Tatizo ni wewe kukataa maarifa ya Mungu. Kukataa ni kupi Ni kusoma neno, kulisikia alafu kukataa kuliweka katika matendo. Kulisikia neno kuliamini kukataa kuliweka katika matendo. Huko ndiko kukosa maarifa.
Maarifa haya ni yap? Ya duniani? Hapana Ni ya Mungu! Kama unatatizo na umemuomba akupe maarifa ya kutokea Mungu ataongea ma wewe kupitia neno lake. Sio akili zenye degree, masters hapana hayo ni maarifa ya duniani. Kutokana tunavyoishi sasa! Na watu waliotuzunguka tunaangalia watu wanaotuzunguka kama wakikubana unaachana Na kusubiri maarifa ya Mungu. Unafuata ya binadamu.
Kama uko sehemu ya kufanya maamuzi Kuna tatizo umemuomba Mungu. Na Mungu yupo kimya! Na watu waliokuzunguka wanakupressurelize utoe jibu badala ya kuwa ma msimamo! Wewe utatafuta maarifa ya duniani na yatafanya kazi kwa mda tuu. Baadaye tatizo liko palepale. Hapo umeyakataa maarifa ya Mungu.
Umefuata maarifa yako. Ndio maana anasema Na Mimi nimekataa watoto wako, maana yake matokea ya maarifa yako kama Mungu kayakataa hayatafanya kazi. Ndio maana solution zako wewe hazidumu hazitatui tatizo Bali zinasogeza tatizo mbele. Elimu yako au akili yako Ni kwa ajili ya kupokea maarifa ya Mungu kuweka katika tatizo. Bwana Yesu asifiwe!
Tuje kwenye tittle sasa ya somo:
HOSEA 7-9
Kadiri walivyozidishwa, kwa kadiri iyo hiyo walinitenda dhambi; nami nitageuza utukufu Wao kuwa aibu. Hujilisha dhambi ya watu wangu, hujifurahisha moyo kwa uovu Wao. Hata itakuwa kama walivyo watu wangu, ndivyo atakavyokuwa kuhani; nami nitawaadhibu kwa ajili ya njia zao, Na kuwalipa matendo Yao.
Bwana Yesu asifiwe! Ukiangalia hapo unaweza sema mbona kama anaongea na wachungaji Mimi sipo au hainihusu. Hapana wewe uliyookoka ni kuhani kwa Bwana. Na biblia ni pana ivyo usiweke gate. Mara nyingi sana jambo gumu au jaribu zito linapokutokea kitu cha kwanza kulaumu ni shetani, shetani alaumiwa kwa kila kitu siku hizi, cha pili baada ya kumuomba Mungu.
Kwa kukosa maarifa utamlaumu Mungu kwanini hanitoi katika jangwa hili. Huku ni kukosa maarifa maana tunasahau kuwa Mungu kaandika yote haya kwenye kitabu chake. Kuna sehemu Mungu ameongea waziwazi kupitia mtumishi wake Paulo ya kuwa sasa mmeijua siri kubwa ya ufalme wa Mbinguni na siri yenyewe ni YESU. akaendelea kusema kupitia huyu Yesu ndipo kuna hazina iliyositirika nayo ni hekima na maarifa ya YESU.
wapendwa bila hekima au maarifa ya Yesu you will go no where unaweza jiona unaenda mbele kumbe unachofanya unazunguka duara tuu. Husogei mbele. Ndo maana Paulo akasema ni hazina iliyositirika. Mara zote sisi ni matokeo ya jinsi vile tunavyoishi, kivip? Umepata maarifa ya Mungu. Unafanya dhambi unatubu, unarudia unatubu tena. Na unajua kabisa nikifanya matokeo yake ni kuanguka.
Angalia neno hapo juu anasema kwa kuwa umeyakataa maarifa na mimi nimekukataa wewe! Na watoto wako. Nimesema watoto ni matokeo ya maarifa yako. Bwana Yesu asifiwe wapendwa. Kwa iyo sisi ni matokeo ya jinsi tunavyoishi. Matatizo mengi kabla ya kukimbilia kumlaumu Mungu, kumlaumu mtu, kumlaumu shetani anza na wewe kwanza!
Je uliyakubali maarifa ya Mungu au uliyakataa? Unasema aaah ilikuwa ni hasira tuu, biblia inasema lisikuchwe jua kabla hujatoa uchungu moyoni mwako, maana ita attract dhambi! Biblia inasema usikae barazani kwenye mizaha, maana nafsi yako itashikwa na utashindwa kuomba, kusoma neno, kuendelea mbele kiroho!
Biblia imeelezea kila kitu kwa mapana yake kwa ukubwa wake. Na watumishi nao wanapiga kelele. Hata huku whats app unakutana na Mungu kama hivi, je baada ya kuelewa unafuata haya maarifa au unafuata maarifa yako. Au unaona Biblia ni old fashion? Nitakuwa kama mzee! Sitakuwa wa mjini! mjini! watu wengi wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
Ndio maana kadiri Mungu anavyokubariki ndio kadiri unavyomtenda Mungu dhambi. Sababu huna maarifa ya kutumia iyo Baraka, unatumia iyo Baraka kwa ajili ya kufurahisha moyo wako. Angalia mstari wa 9, Mungu kaapa kuwalipa matendo yenu. Ivyo tuache kumlaumu Mungu juu yanayotuzunguka anza na wewe kwanza.
Hesabu 5-14
Maana Mimi nitakuwa kama Simba kwa nyumba ya Yuda; Mimi naam Mimi nitararua, kisha nitakwenda zangu: Nitachukulia mbali , wala hapatakuwa na mtu wa kupokonya. 15 nitakwenda zangu niparudie mahali pangu, hata watakapoungama makosa Yao na kunitafuta uso Wangu: Katika taabu Yao watanitafuta kwa bidii.
Bwana Yesu asifiwe!
Sababu ya hayo niliyoelezea huko juu Mungu anasema Mimi nitakuwa kama Simba kwa yuda. Hicho cha Mungu kukubariki hata kwa nukta alfu wewe nawe unaongeza dhambi Mungu atakuja kwako yeye kama Simba kwa Yuda. Angalia Mungu anavyojiapiza anasema Mimi naam Mimi ukilikuta neno hili sehemu yoyote lirudie Mara nne nne manake Mungu ameongea kwa kuapa. Mimi naam Mimi nitararua. Atakurarua kama Simba anasema hapatakuwa na mtu wa kukuponya. Isipokuwa umeungama na kuacha dhambi zako.
Mpendwa neno la Mungu linakuja asubuhi ya Leo maana Mungu anakasirika kukubariki na wewe kuendelea kutenda dhambi. Mungu atakukataa kwa sababu wewe unayakataa maarifa yake. Na atakaa watoto wako pia maana yake matokeo ya maarifa yako. Bwana Yesu asifiwe Sana. Anza Leo kutafuta maarifa ya Mungu. Tenga kurasa 4 tuu kusoma biblia katika neno ndiko kunakotoka hekima Na maarifa ya Yesu. Mungu atakapo kukarua na kukukataa kwa kukosa kwako maarifa usije mlaumu mtu. Au kutafuta wa kumlaumu Bali jilaumu wewe mwenyewe. Na mwenye masikio na asikie. Jina la Bwana libarikiwe Sana.
*kama hujaokoka ndugu chukua uamuzi leo umpe Yesu maisha yako. Kuokoka nikukubali Yesu atake control ya maisha yako ya kiuchumi,ndoa,kazi zako biashara zako, maisha yako ya kiroho, na mambo yote ya kiujumla, ni kumruusu Yesu atake charge ya maisha yako.kumruusu roho wa Mungu apige hatua na kuokoka si kubadili dini. Huwezi mshinda adui ukiwa upande wake,Hivyo chukua hatua leo ndugu, ukae upande salama kwa Yesu. Mimi ndugu yako Joseph Ntandu
josephntandu@gmail.com,0713297066

Comments
Post a Comment