MAOMBI YA KUFUNGUA KIBALI CHA NAFASI YA KAZI
*Maombi haya yana uvuvio wa Roho Mtakatifu. Wengi yamewafungua kwa kuwa ni Roho mwenyewe anafanya kazi kupitia neno la ukiri.
*ivyo sina shaka na wewe utawekwa huru. Ni maombi niliyopewa na Mungu mwenyewe Ivyo unapoomba omba kwa kumaanisha kufunguliwa.
Bwana Mungu wa majeshi! Adonai ndilo jina lako! JEHOVA ndivyo unavyoitwa ewe mfinyanzi wangu. Ewe Mungu wangu, Ewe Baba yangu
niseme nini juu yako wewe Mungu, wewe uliyenitoa mavumbuni! Mungu usiyelala, wokovu, wangu, furaha yangu, ni nani aliye kama Mungu
wangu mimi! JEHOVA mtumishi wako Hana akasema kitabu cha samweli sura ya pili, kwa nguvu hakuna wa kushindana na Mungu, nami nakiri hakuna wa
kushindana na wewe, nami nikitazama uliponitoa na unaponipeleka nashindwa hata kuzungumza. nitakurudishia nini Mungu wangu ikiwa fedha
na dhahabu ni mali yako? vyote viijazavyo mbingu na nchi ni mali yako? nami nasema asante kwa kuendelea kusema na kusema nami sichoki
kukusikiza kwa kuwa wewe ndio Mungu wangu. Baba umesema hakuna neno lililositirika, ambalo halitafuniliwa, wala lililofichwa
ambalo halitajulikana. Mathayo 10:26 Bwana leo yote umeyaweka wazi asante Baba maana nimejua ya kuwa elimu yangu imefungwa, nafasi za
kazi yangu, zimefungwa, kwa kupitia uchawi, lakini pia Mungu wangu biblia inasema afanyaje dhambi toka mwanzo ni ibilisi kwa kusudi hili mwana
wa Mungu alidhiririshwa kwetu ili kuzivunja kazi za ibilisi. Baba kila kitu nilichopewa nilipokuwa mtoto kwa lengo cha kuniingiza katika maagano naingia katika
ulimwengu wa roho naviharibu sasa kwa mamlaka ya jina la Yesu, kwa damu ya Yesu zawadi zenye manuizo niliyopewa ikakamata maisha
yangu, Mungu naziharibu sasa kwa mamlaka ya jina la Yesu! chakula nilichopewa ambacho kilikuwa na uchawi leo hii nakiunguza na moto katika
ulimwengu wa roho, fedha niliyopewa kama chuma ulete, fedha iliyokamata nyota ya mkono wangu leo hii kwa jina la Yesu na kwa damu ya Yesu
nazichoma moto wa roho mtakatifu, kila kiungo kati yangu mimi na chakula nilichokula, vitu nilivyotokaa kutoka kwa waganga,
nakitenganisha sasa nami kwa damu ya Yesu, kwa damu ya Yesu, huo muunganiko naukata kwa damu ya Yesu, naukata kwa moto wa roho mtakatifu,
huo muunganiko naukata na upanga, muunganiko na madhabahu, muunganiko na nguvu za giza, zilizoshika mikono yangu yenye nyota na
uzalishaji, muunganiko wa mda wangu, muunganiko wowote na ibilisi naangamiza kwa jina la Yesu, Muunganiko wa tumbo langu
lililokula chakula toka kwenye nguvu za madhabahu kwa njia ya ndoto nauharibu kwa jina la Yesu. Kwa damu Yesu Mungu Baba ninafuta kwa damu ya
Yesu kila agano nililolifanya pasipo kujua agano kupitia mitego, agano kupitia chakula, agano kupitia fedha,niliyochu kua au zawadi yoyote kutoka
kwa mtu yoyote ataikawa ya kwamba Elimu yangu imezikwa na kufukiwa katika makuburi, nafasi ya kupata kazi ikazikwa kwa maagano Baba ilo agano
nalivunja kwa damu ya Yesu, nalivunja kwa damu ya Yesu. Baba katika jina la Yesu ilo lango liliruusu iyo sheria ya mimi kutawaliwa kupitia elimu,
kupitia nafasi ya kazi! ninaomba toba katika ilo lango, ninamwaga damu ya Yesu ya hukumu ya haki, damu ya Yesu ya hukumu ya haki! Baba katika
jina la Yesu iyo sheria iliyotengenezwa na mkuu wa kipepo, washirika wa kipepo, watenda kazi wa kimadhabahu, miungu ya madhabahu iyo
sheria katika ardhi, anga, chini ya bahari , hata kule kuzimu ambako jina la langu limeandikwa cha kumilikiwa ninapitisha damu ya Yesu ya
kufuta sheria iyo kwa damu ya Yesu! kwa damu ya Yesu! kwa damu ya Yesu! Baba sasa ninaomba hukumu yako ya haki, kwa damu ya Yesu, kwa damu
ya Yesu, kwa damu ya Yesu, juu ya wasimamizi wa sheria iyo. iyo sheria iliyotengenezwa katika ulimwengu ili mimi nisionekane nimesoma, ili
nisipate kazi Bwana Yesu wasimamizi wa sheria iyo ninamwaga damu ya Yesu ya hukumu ya haki! haki yangu sasa iachiliwe kwa damu ya Yesu
ninaamuru sasa yoyote aliyopewa kusimamia sheria hii katika ulimwengu wa roho ninakamata shoka nawafyeka
kwa jina la Yesu, nawateketeza kwa jina la Yesu.nawaangami za kwa damu ya Yesu, nawapasua kwa moto kwa jina la Yesu wote waliokamata
nyota yangu wakaificha au kuifukia nyota yangu ninaiiunga na damu ya Yesu ya hukumu ya haki, naizungushia moto wa roho mtakatifu, sasa kwa jina la
Yesu, nayeyote aliyeshika nyota yangu ya kupata kazi, nyota yangu ya elimu nakamata shoka nawakata mikono, nawakata miguu, nawafyeka
kwa jina la Yesu, kwa damu ya
Yesu . nawasambaratisha kwa moto. Baba sawasawa na Ayubu 20:15 shetani yoyote aliyemeza elimu yangu au vyeti
vyangu au nafasi yangu ya kazi
Bwana ilo tumbo la nyoka, ilo tumbo la kuzimu, ilo tumbo la mchawi, ilo tumbo la mganga wa kienyeji, ilo tumbo la mkuu
wa madhabahu, ilo tumbo la
washirika za kimadhabahu, ilo tumbo la miungu ya madhabahu, ilo tumbo la watenda kazi katika
madhabahu katika jina la Yesu
nakuamuru wewe agent wa kuzimu, kutapika sasa, kutapika sasa kwa jina la Yesu, ewe madhabahu uliyemeza kazi
yangu, uliyemeza elimu yangu
ilo tumbo nalimimimia damu ya Yesu damu ya Yesu ya kichefu kichefu, tapika sasa kwa jina la Yesu tapika sasa kwa jina la
Yesu nakushambulia wewe
adui, naachilia mvua ya acid ya Mungu juu yako, naachilia mvua ya moto juu yako, naachilia mabomu ya moto juu
yako ,naachilia mshale ya moto
kwenye kifua chako, nakufyeka kwa upanga, nakutenganisha kichwa na kiwiliwili, achia kazi yangu adui, achia elimu yangu
adui kwa jina la Yesu, ibilisi
ninamaanisha ninachosema nakuambia achia sasa, achia adui, achia nakuamrisha kwa mamlaka ya jina la Yesu, huna
mamlaka ya kushikilia elimu
yangu, wala nafasi zangu za kazi iyo sheria nimeifuta nafanya vita na wewe ewe mzimu, ewe pepo, ewe jini
nakuamuru tokaaaa! tokaaaa!
tokaaaa! nakuamuru rudi kwa aliyekutuma kwa jina la Yesu kwa damu ya Yesu. wewe ni mhamiaji haramu katika imaya
yangu, toka ibilisi toka adui kwa jina la Yesu. potea kwa jina la Yesu, kwa damu ya Yesu! Baba vibali vyangu katika lango la juu ardhi na chini ya mbingu vibali
vyangu vya kupata kazi, vibali
vyangu vya elimu navifungua kwa damu ya Yesu, navifungua kwa damu ya Yesu, kibali changu cha kupata kazi, kibali
cha elimu kupitia juu ardhi na
chini ya mbingu hayo malango nayafungua kwa damu ya Yesu ya password, nafungua kwa damu ya Yesu ya password. ile
damu ya ufunuo 5:9
ninaimwaga katika lango langu la kazi, lango la elimu , juu nchi na chini ya mbingu kwa damu ya Yesu nafungua vibali vyangu
sasa, nafungua vibali vyangu
sasa kwa damu ya Yesu. ewe mbingu unisikie na uwe upande wangu, ewe nchi unisikie na uwe upande wangu kwa jina la
Yesu. ewe lango la bahari
nakumwagia damu ya Yesu ya kukutiisha kwa mamlaka kwa mamlaka ya jina la Yesu. ninaamuru waliomeza kazi
yangu wamezwe sasa,
waliomezwa elimu yangu wamezwe sasa, kwa jina la Yesu, uchawi uliomeza kazi yangu, uliomeza elimu yangu
umezwe sasa kwa jina la Yesu,
kwa damu ya Yesu. Asante Bwana Yesu kwa kuwa umefanya zaidi niombavyo zaidi nifikiriavyo. Ameen.
rudia mara 7*
JINA LAKE MUNGU LIBARIKIWE!
*kama hujaokoka ndugu chukua uamuzi leo umpe Yesu maisha yako. Kuokoka nikukubali Yesu atake control ya maisha yako ya kiuchumi,ndoa,kazi zako biashara zako, maisha yako ya kiroho, na mambo yote ya kiujumla, ni kumruusu Yesu atake charge ya maisha yako.kumruusu roho wa Mungu apige hatua na kuokoka si kubadili dini. Huwezi mshinda adui ukiwa upande wake,Hivyo chukua hatua leo ndugu, ukae upande salama kwa Yesu. Mimi ndugu yako Joseph Ntandu
josephntandu@gmail.com,0713297066
Amen..nimeyapenda maombi haya.yana nguvu hata kama haijajidhihirisha kwangu bado lakini nasikia nguvu ya ushindi
ReplyDeleteAmen, nmepokea kwa jina la Yesu kristo anaendelea kuyatawala maisha yangu
ReplyDeleteamen napokea kazi nzuri yenye mshahara mzuri kwa JINA LA YESU KRISTU. AMEN
ReplyDeleteAmina yote mungu ndie muweza wa yote amina
ReplyDeleteNapokea kazi nzurii katika jina la Yesu Kristo aliyehai
ReplyDeleteahsante mtumishi nimekuwa nikihangaika mda mrefu kutafuta kazi, ila kupitia maombi haya nitabarikiwa na bwana mungu.
ReplyDeleteAmeen
ReplyDeleteAhsante sana mtumishi wa Mungu
ReplyDeleteNapokea Nazi
Napokea elimu
Napokea nyota yangu
Napokea uchumi wangu kupitia maombi haya
Mungu akubariki sana uzidi kutuongoza
Amen amen napokea kazi kwa jina la yesu🙏
ReplyDeleteAmen
ReplyDeleteAmen napokea kazi kwa Jina la Yesu Kristo aliye hai
ReplyDeleteAmeeeeen naenda kupokea kazi kubwa mdas mrefu katika jina la yesu katika jina la yesu katika jina la yesuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ameeeeeeen
ReplyDeleteAmen nmepokea
ReplyDeleteAmenn
ReplyDeleteAmen kupitia maombi haya naona Mungu anaenda kufungua milango ya kazi kwangu
ReplyDeleteAmina napokea kupitia jina la Bwana Yesu kristo wa Nazareth. Amen
ReplyDeleteAmen kupitia haya maombi yako mtume , naenda kupokea kazi napokea ndoa njema napokea uchumi wangu napokea nyota yang amen kwa imani
ReplyDeleteNapokea yote kwa jina la yesu Alie hai,amen
ReplyDeleteAmina mtumishi kupitia maombi haya naenda Sasa kuajiliwa serikalin
ReplyDeleteAhsante mtumishi ninapokea kwa imani kubwa
ReplyDeleteAmen.....napokea kazi nzuri sasa katika jina la Yesu Kristi Mwana Wa Mungu aliye hai
ReplyDeleteAmen
ReplyDeleteAmina, napokea kazi nzuri sana kwa jina la Yesu, nimetafuta kazi muda mrefu sana kupitia maombi haya naamini nitakuja kutoa shuhuda tena hapa. MUNGU atusaidie wote tusio na kazi tupate Kazi.
ReplyDeleteNapokea kazi nzuri katika jina la Yesu
ReplyDeleteNapokea napokea napokea kazi Kwa jina la yesu Amen. 🙌🙌🙌
ReplyDeleteAmen nmepokea
ReplyDeleteAmen! Napokea kwa jina la Yesu Kristo mwana wa Mungu.
ReplyDeleteAmen napokea kazi nzuri katika jina la Yesu
ReplyDelete