MAOMBI YA KUFUMUWA MAKABURI YALIYOZIKA VITU VYAKO ULIMWENGU WA ROHO

KAMA HUKULIPATA SOMO LA NYUMA " NGUVU YA YESU KATIKA KUFUKUMUA MAKABURI YA ULIMWENGU ROHO" ANGALIA MASOMO YALIYOPITA HAPA. NDIPO UFANYE MAOMBI HAYA

"Maombi ya kufumua makaburi katika ulimwengu wa Roho"

Baba katika jina la Yesu Kristo asante kwa ufunuo huu. nalitukuza jina lako Baba, nami siwezi kuja mbele zako katika uovu wala dhambi au makosa. Ndio maana Bwana

ninaomba rehema Bwana. Ninatubu mbele zako ninaomba unisamehe, umesema wewe ni Mungu mwenye huruma nyingi, uliojaa fadhili nyingi na

rehema na neema. Mungu unayesamehe maelfu kwa maelfu makosa uovu na dhambi. Ninatubu mbele zako leo, ninajua wewe Mungu ni Mtakatifu zaidi ya utakatifu.

Wala hauchangamani na dhambi. Wewe ni Mungu ambaye huondoaye dhambi zangu na kuzifuta kama wingu zito. Baba ninaomba rehema kwa ajili ya kutoka

kwangu Na kuingia kwangu, naomba damu ya mwanakondoo katika waebrania 9:22 initakase Mfalme, sina haki mbele zako, ni mchafu mbele zako, ni mfano wa

Takataka mbele zako! Mungu wa waebrania, Mungu mwenye huruma nimetambua makosa yangu yote leo nakugeukia wewe kwa ajili ya utakaso

Kamili naomba unisamehe, naomba unirehemu katika jina la Yesu. Kwa damu ya Yesu Kristo! Naomba damu ya Yesu Kristo ya ondoleo la dhambi initakase sasa 

kwa damu ya Yesu! Kwa damu ya Yesu katika jina la Yesu Kristo! Kila viambaza mbele yako Bwana, kila mashataka ya dhambi juu yangu Bwana

Ninaomba eee Mfalme damu ya Mwanakondoo initakase sasa, initakase sasa! Inisafishe sasa! Ili niwe safi, sababu yoyote Mungu itakayofanya  maombi

Yasikufikie Mungu naomba Rehema Baba Katika jina la Yesu Kristo. Eee Mungu makaburi yoyote Katika maisha yangu Kati ka ulimwengu wa roho, yaliletwa na

dhambi nami Leo natubu kwa ajili ya makaburi ya afya katika ulimwengu wa roho, makaburi ya malango yangu ya rohoni na mwilini, makaburi ya uchumi

Makaburi ya ndoa, makaburi yaliyozika kuoa/ kuolewa naomba Mungu unisamehe, iyo dhambi iliyopita katika ulimwengu wa roho, iyo dhambi iliyompa

access ibilisi hata akazika vitu vyangu katika makaburi katika ulimwengu wa roho Baba Mungu wa mbinguni naomba unirehemu, naomba unisamehe, kwa ajili

ya iko chanzo cha dhambi, ninaimwaga damu ya Yesu Kristo, ikafute iyo dhambi popote ilipo chanzo chake, damu ya Yesu inayonena mema, inene rehema, iungame

iyo dhambi sasa katika jina la  Yesu Kristo.Kwa damu ya Yesu, Kwa damu ya Yesu. Baba Ezekiel ulimchukua katika ulimwengu wa roho nakumuonyesha

Kile wewe Mungu unachokiona katika ulimwengu wa roho! Nakumuonyesha ile hujuma shetani aliyofanya kwa sisi watoto wako, tumezikwa tungali hai, Baba si

kwamba sisi  tumezikwa tuu Bali Baba uliona mifupa mikavu yani manake tayari tumeoza tayari! Huku duniani tunajiona tuko sawa, kumbe wewe Mungu macho

yako si kama ya binadamu, jinsi wewe MUNGU uangaliavyo siyo kama sisi binadamu, ee Mungu Leo ninaomba unisaidie ili kuachilie sasa damu ya Bwana

Yesu ili inenenayo mema, Damu ya uzima wa milele, Damu ya Mwanzo na mwisho, damu ya ufufuo na uzima, Damu ile iliyochinjwa ikamnunulia Mungu watu

Wa kila kabila kila lugha na Kila taifa damu hii ya dhamani ya mwokozi Yesu ichukuayo dhambi ya ulimwengu damu hii Mungu Baba ivunjayo maagano yote.

Damu hii ee Mungu wangu ni damu ya  vita, tena inaharibu kazi za ibilisi katika ulimwengu wa roho, Damu hii BWANA ifunguayo mhuri katika vitabu vya kuzimu.

Katika jina la Yesu Kristo Muda umekwisha wadia roho Mtakatifu biblia inasema kadhalika naye Roho hutusaidia kuomba maana hatujui kuomba ipasavyo!

Sasa navaa silaha za Mungu. Ninavaa damu ya Yesu, nachukua rungu la Mungu, nachukua shoka la Mungu, nabeba hasira za Mungu hadi kwa adui, nakujia adui na

Moto wa roho mtakatifu, Kwa mamlaka ya jina la Yesu, nainua malaika wa vita kutoka mbinguni sasa! Nakuja hadi eneo la adui! Wewe adui uliyeyafunga maisha

yangu wewe ulinijengea ngome nisivuke! Wewe uliyezika vita vyangu Leo nitawapasua wakuu wa Giza, nitawapasua wafalme wa Giza jeshi la pepo wabaya

mko hatarini! Sasa! Mkuu wa anga nakujia sasa katika jina la Yesu Kristo, Kwa damu ya Yesu.

Wewe uliyezika Elimu yangu,nafasi ya kazi katika makaburi ya ulimwengu wa roho, na mwili, eee madhabahu ya makaburi popote ulipo katika jina la Yesu, nakupasua kwa Moto sasa! Naharibu kazi zenu kwa damu ya Yesu! Makaburi yote yaliyoshikilia elimu yangu, nafasi ya kazi fumuka sasa Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Lazaro, damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Bwana Yesu iyo damu sasa ipo katika ulimwengu wa roho wangu Mimi! Ninaiachilia iyo damu ya Bwana Yesu juu ya ardhi, naachilia katika anga zote, naachilia juu ya bahari hadi chini ya bahari kaburi lolote uliyezika elimu yangu, uliyezika nafasi ya kazi, hata ikawa ya kwamba nahangaika! Leo pasuka , fumuka sasa kwa damu ya Yesu, kwa Moto wa roho Mtakatifu, kwa tetemeko la Mungu, fumuka kaburi, kaburi lililo kamata kibali Katika elimu, kibali cha nafasi ya kazi, nakupasua sasa! Nakufumua sasa! Kwa damu ya Yesu! Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu ipite kila mahali sasa ikakulocate! Damu ya Yesu ya Kimbingu iko kinyume nawe sasa kaburi, Damu ya Yesu ya vita. Damu ya Yesu ya kufumua mauti! Mauti kwa damu ya Yesu fumuka, mauti ya elimu, mauti ya nafasi ya kazi nakufumua sasa kwa damu ya Yesu! Naharibu kabisa kazi zenu tokea Leo kwa damu ya mwanakondoo katika jina la Yesu Kristo.

Wewe uliyezika Ndoa yangu, katika makaburi ya ulimwengu wa roho, na mwili, eee madhabahu ya makaburi popote ulipo katika jina la Yesu, nakupasua kwa Moto sasa! Naharibu kazi zenu kwa damu ya Yesu! Makaburi yote yaliyoshikilia ndoa yangu, fumuka sasa Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Lazaro, damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Bwana Yesu iyo damu sasa ipo katika ulimwengu wa roho wangu Mimi! Ninaiachilia iyo damu ya Bwana Yesu juu ya ardhi, naachilia katika anga zote, naachilia juu ya bahari hadi chini ya bahari kaburi lolote uliyezika Ndoa yangu, uliyezika Furaha yangu, hata ikawa ya kwamba nahangaika! Leo pasuka , fumuka sasa kwa damu ya Yesu, kwa Moto wa roho Mtakatifu, kwa tetemeko la Mungu, fumuka kaburi, kaburi lililo kamata kibali Katika Ndoa, kibali cha kufurahia ndoa, nakupasua sasa! Nakufumua sasa! Kwa damu ya Yesu! Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu ipite kila mahali sasa ikakulocate! Damu ya Yesu ya Kimbingu iko kinyume nawe sasa kaburi, Damu ya Yesu ya vita. Damu ya Yesu ya kufumua mauti! Mauti kwa damu ya Yesu fumuka, mauti ya Ndoa, mauti ya uchumi wa ndoa nakufumua sasa kwa damu ya Yesu! Naharibu kabisa kazi zenu tokea Leo kwa damu ya mwanakondoo katika jina la Yesu Kristo.

Wewe uliyezika kuoa/kuolewa yangu,nafasi yangu ya kuoa/kuolewa katika makaburi ya ulimwengu wa roho, na mwili, eee madhabahu ya makaburi popote ulipo katika jina la Yesu, nakupasua kwa Moto sasa! Naharibu kazi zenu kwa damu ya Yesu! Makaburi yote yaliyoshikilia kuoa/kuolewa kwangu, ilo kaburi fumuka sasa Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Lazaro, damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Bwana Yesu iyo damu sasa ipo katika ulimwengu wa roho wangu Mimi! Ninaiachilia iyo damu ya Bwana Yesu juu ya ardhi, naachilia katika anga zote, naachilia juu ya bahari hadi chini ya bahari kaburi lolote uliyezika kuoa/kuolewa kwangu, uliyezika mchumba wangu, hata ikawa ya kwamba nahangaika! Leo pasuka , fumuka sasa kwa damu ya Yesu, kwa Moto wa roho Mtakatifu, kwa tetemeko la Mungu, fumuka kaburi, kaburi lililo kamata kibali Katika kuoa/kuolewa, kibali cha nafasi kuwa katika ndoa, nakupasua sasa! Nakufumua sasa! Kwa damu ya Yesu! Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu ipite kila mahali sasa ikakulocate! Damu ya Yesu ya Kimbingu iko kinyume nawe sasa kaburi, Damu ya Yesu ya vita. Damu ya Yesu ya kufumua mauti! Mauti kwa damu ya Yesu fumuka, mauti ya Harusi, mauti ya nafasi ya uchumba nakufumua sasa kwa damu ya Yesu! Naharibu kabisa kazi zenu tokea Leo kwa damu ya mwanakondoo katika jina la Yesu Kristo.

Wewe uliyezika biashara/kazi/huduma yangu, katika makaburi ya ulimwengu wa roho, na mwili, eee madhabahu ya makaburi popote ulipo katika jina la Yesu, nakupasua kwa Moto sasa! Naharibu kazi zenu kwa damu ya Yesu! Makaburi yote yaliyoshikilia kazi/biashara/huduma yangu, Kaburi fumuka sasa Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Lazaro, damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Bwana Yesu iyo damu sasa ipo katika ulimwengu wa roho wangu Mimi! Ninaiachilia iyo damu ya Bwana Yesu juu ya ardhi, naachilia katika anga zote, naachilia juu ya bahari hadi chini ya bahari kaburi lolote uliyezika kazi zangu/biashara zangu/huduma yangu, uliyezika kupiga hatua, maendeleo, hata ikawa ya kwamba nahangaika! Leo pasuka , fumuka sasa kwa damu ya Yesu, kwa Moto wa roho Mtakatifu, kwa tetemeko la Mungu, fumuka kaburi, kaburi lililo kamata kibali Katika kazi/biashara/huduma, nakupasua sasa! Nakufumua sasa! Kwa damu ya Yesu! Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu ipite kila mahali sasa ikakulocate! Damu ya Yesu ya Kimbingu iko kinyume nawe sasa kaburi, Damu ya Yesu ya vita. Damu ya Yesu ya kufumua mauti! Mauti kwa damu ya Yesu fumuka, mauti ya Kazi/biashara/huduma, nakufumua sasa kwa damu ya Yesu! Naharibu kabisa kazi zenu tokea Leo kwa damu ya mwanakondoo katika jina la Yesu Kristo.

Wewe uliyezika uchumi wangu katika makaburi ya ulimwengu wa roho, na mwili, eee madhabahu ya makaburi popote ulipo katika jina la Yesu, nakupasua kwa Moto sasa! Naharibu kazi zenu kwa damu ya Yesu! Makaburi yote yaliyoshikilia uchumi wangu/fedha zangu  fumuka sasa Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Lazaro, damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Bwana Yesu iyo damu sasa ipo katika ulimwengu wa roho wangu Mimi! Ninaiachilia iyo damu ya Bwana Yesu juu ya ardhi, naachilia katika anga zote, naachilia juu ya bahari hadi chini ya bahari kaburi lolote uliyezika wangu hauonekani, uliyezika fedha zangu, hata ikawa ya kwamba nahangaika! Leo pasuka , fumuka sasa kwa damu ya Yesu, kwa Moto wa roho Mtakatifu, kwa tetemeko la Mungu, fumuka kaburi, kaburi lililo kamata kibali Katika uchumi, kibali cha fursa za biashara, miradi, nakupasua sasa! Nakufumua sasa! Kwa damu ya Yesu! Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu ipite kila mahali sasa ikakulocate! Damu ya Yesu ya Kimbingu iko kinyume nawe sasa kaburi, Damu ya Yesu ya vita. Damu ya Yesu ya kufumua mauti! Mauti kwa damu ya Yesu fumuka, mauti ya uchumi, mauti ya kutokuona fursa nakufumua sasa kwa damu ya Yesu! Naharibu kabisa kazi zenu tokea Leo kwa damu ya mwanakondoo katika jina la Yesu Kristo.

Wewe uliyezika Afya yangu, katika makaburi ya ulimwengu wa roho, na mwili, eee madhabahu ya makaburi popote ulipo katika jina la Yesu, nakupasua kwa Moto sasa! Naharibu kazi zenu kwa damu ya Yesu! Makaburi yote yaliyoshikilia Afya yangu, fumuka sasa Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Lazaro, damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Bwana Yesu iyo damu sasa ipo katika ulimwengu wa roho wangu Mimi! Ninaiachilia iyo damu ya Bwana Yesu juu ya ardhi, naachilia katika anga zote, naachilia juu ya bahari hadi chini ya bahari kaburi lolote uliyezika Afya yangu, uliyezika uzima wangu, hata ikawa ya kwamba nahangaika! Leo pasuka , fumuka sasa kwa damu ya Yesu, kwa Moto wa roho Mtakatifu, kwa tetemeko la Mungu, fumuka kaburi, kaburi lililo kamata kibali Katika Afya, kibali cha uzima, nakupasua sasa! Nakufumua sasa! Kwa damu ya Yesu! Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu ipite kila mahali sasa ikakulocate! Damu ya Yesu ya Kimbingu iko kinyume nawe sasa kaburi, Damu ya Yesu ya vita. Damu ya Yesu ya kufumua mauti! Mauti kwa damu ya Yesu fumuka, mauti ya Afya, mauti ya mwili nakufumua sasa kwa damu ya Yesu! Naharibu kabisa kazi zenu tokea Leo kwa damu ya mwanakondoo katika jina la Yesu Kristo.

Wewe uliyezika nafsi yangu na madeni katika makaburi ya ulimwengu wa roho, na mwili, eee madhabahu ya makaburi popote ulipo katika jina la Yesu, nakupasua kwa Moto sasa! Naharibu kazi zenu kwa damu ya Yesu! Makaburi yote yaliyoshikilia Mimi kwa madeni fumuka sasa Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Lazaro, damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Bwana Yesu iyo damu sasa ipo katika ulimwengu wa roho wangu Mimi! Ninaiachilia iyo damu ya Bwana Yesu juu ya ardhi, naachilia katika anga zote, naachilia juu ya bahari hadi chini ya bahari kaburi lolote uliyezika jina langu na madeni, hata ikawa ya kwamba nahangaika! Leo pasuka , fumuka sasa kwa damu ya Yesu, kwa Moto wa roho Mtakatifu, kwa tetemeko la Mungu, fumuka kaburi, kaburi lililo kamata kibali cha kukopesha kugeuza madeni, kibali cha kukopesha watu, nakupasua sasa! Nakufumua sasa! Kwa damu ya Yesu! Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu ipite kila mahali sasa ikakulocate! Damu ya Yesu ya Kimbingu iko kinyume nawe sasa kaburi, Damu ya Yesu ya vita. Damu ya Yesu ya kufumua mauti! Mauti kwa damu ya Yesu fumuka, mauti madeni, mauti mikopo nakufumua sasa kwa damu ya Yesu! Naharibu kabisa kazi zenu tokea Leo kwa damu ya mwanakondoo katika jina la Yesu Kristo.

Wewe uliyezika nafsi yangu na nguvu za giza  katika makaburi ya ulimwengu wa roho, na mwili, eee madhabahu ya makaburi popote ulipo katika jina la Yesu, nakupasua kwa Moto sasa! Naharibu kazi zenu kwa damu ya Yesu! Makaburi yote yaliyonishikilia kwa nguvu za giza, fumuka sasa Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Lazaro, damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Bwana Yesu iyo damu sasa ipo katika ulimwengu wa roho wangu Mimi! Ninaiachilia iyo damu ya Bwana Yesu juu ya ardhi, naachilia katika anga zote, naachilia juu ya bahari hadi chini ya bahari kaburi lolote uliyenizika na nguvu za giza, hata ikawa ya kwamba nahangaika! Leo pasuka , fumuka sasa kwa damu ya Yesu, kwa Moto wa roho Mtakatifu, kwa tetemeko la Mungu, fumuka kaburi, kaburi lililo kamata kibali cha kufunguliwa, kibali cha kumtumikia Mungu, nakupasua sasa! Nakufumua sasa! Kwa damu ya Yesu! Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu ipite kila mahali sasa ikakulocate! Damu ya Yesu ya Kimbingu iko kinyume nawe sasa kaburi, Damu ya Yesu ya vita. Damu ya Yesu ya kufumua mauti! Mauti kwa damu ya Yesu fumuka, mauti ya nguvu za giza, mauti ya uchawi, ushirikina, uganga nakufumua sasa kwa damu ya Yesu! Naharibu kabisa kazi zenu tokea Leo kwa damu ya mwanakondoo katika jina la Yesu Kristo.

Wewe uliyenizika na vifungo vya familia/ukoo na Familia  katika makaburi ya ulimwengu wa roho, na mwili, eee madhabahu ya makaburi popote ulipo katika jina la Yesu, nakupasua kwa Moto sasa! Naharibu kazi zenu kwa damu ya Yesu! Makaburi yote yaliyoshikilia Familia na vifungo vya familia/ukoo wangu, fumuka sasa Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Lazaro, damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Bwana Yesu iyo damu sasa ipo katika ulimwengu wa roho wangu Mimi! Ninaiachilia iyo damu ya Bwana Yesu juu ya ardhi, naachilia katika anga zote, naachilia juu ya bahari hadi chini ya bahari kaburi lolote uliyezika Familia yangu na vifungo vya familia/ukoo , hata ikawa ya kwamba nahangaika! Leo pasuka , fumuka sasa kwa damu ya Yesu, kwa Moto wa roho Mtakatifu, kwa tetemeko la Mungu, fumuka kaburi, kaburi lililo kamata Familia/ukoo! Nakufumua sasa! Kwa damu ya Yesu! Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu ipite kila mahali sasa ikakulocate! Damu ya Yesu ya Kimbingu iko kinyume nawe sasa kaburi, Damu ya Yesu ya vita. Damu ya Yesu ya kufumua mauti! Mauti kwa damu ya Yesu fumuka, mauti ya kutokufanikiwa kifamilia, mauti za rohoni na mwilini kifamilia nakufumua sasa kwa damu ya Yesu! Naharibu kabisa kazi zenu tokea Leo kwa damu ya mwanakondoo katika jina la Yesu Kristo.

Wewe uliyezika kupata watoto, katika makaburi ya ulimwengu wa roho, na mwili, eee madhabahu ya makaburi popote ulipo katika jina la Yesu, nakupasua kwa Moto sasa! Naharibu kazi zenu kwa damu ya Yesu! Makaburi yote yaliyoshikilia kupata watoto, fumuka sasa Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Lazaro, damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Bwana Yesu iyo damu sasa ipo katika ulimwengu wa roho wangu Mimi! Ninaiachilia iyo damu ya Bwana Yesu juu ya ardhi, naachilia katika anga zote, naachilia juu ya bahari hadi chini ya bahari kaburi lolote uliyezika kupata watoto, uliyezika kuwa na familia, hata ikawa ya kwamba nahangaika! Leo pasuka , fumuka sasa kwa damu ya Yesu, kwa Moto wa roho Mtakatifu, kwa tetemeko la Mungu, fumuka kaburi, kaburi lililo kamata kibali Katika kupata mimba/ kuwezesha mimba, nakupasua sasa! Nakufumua sasa! Kwa damu ya Yesu! Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu ipite kila mahali sasa ikakulocate! Damu ya Yesu ya Kimbingu iko kinyume nawe sasa kaburi, Damu ya Yesu ya vita. Damu ya Yesu ya kufumua mauti! Mauti kwa damu ya Yesu fumuka, mauti ya kutopata watoto, mauti ya kutokuanzisha familia nakufumua sasa kwa damu ya Yesu! Naharibu kabisa kazi zenu tokea Leo kwa damu ya mwanakondoo katika jina la Yesu Kristo.

Wewe uliyezika vibali  vyangu, katika makaburi ya ulimwengu wa roho, na mwili, eee madhabahu ya makaburi popote ulipo katika jina la Yesu, nakupasua kwa Moto sasa! Naharibu kazi zenu kwa damu ya Yesu! Makaburi yote yaliyoshikilia vibali vyangu, fumuka sasa Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Lazaro, damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Bwana Yesu iyo damu sasa ipo katika ulimwengu wa roho wangu Mimi! Ninaiachilia iyo damu ya Bwana Yesu juu ya ardhi, naachilia katika anga zote, naachilia juu ya bahari hadi chini ya bahari kaburi lolote uliyezika vibali vyangu, uliyezika vibali juu ya ardhi chini ya mbingu, hata ikawa ya kwamba nahangaika! Leo pasuka , fumuka sasa kwa damu ya Yesu, kwa Moto wa roho Mtakatifu, kwa tetemeko la Mungu, fumuka kaburi, kaburi lililo kamata kibali Katika maeneo yangu yote, vibali vilivyonaswa  nakupasua sasa! Nakufumua sasa! Kwa damu ya Yesu! Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu ipite kila mahali sasa ikakulocate! Damu ya Yesu ya Kimbingu iko kinyume nawe sasa kaburi, Damu ya Yesu ya vita. Damu ya Yesu ya kufumua mauti! Mauti kwa damu ya Yesu fumuka, mauti ya vibali, nakufumua sasa kwa damu ya Yesu! Naharibu kabisa kazi zenu tokea Leo kwa damu ya mwanakondoo katika jina la Yesu Kristo.

Wewe uliyezika fikra/akili yangu, katika makaburi ya ulimwengu wa roho, na mwili, eee madhabahu ya makaburi popote ulipo katika jina la Yesu, nakupasua kwa Moto sasa! Naharibu kazi zenu kwa damu ya Yesu! Makaburi yote yaliyoshikilia fikra/akili yangu, fumuka sasa Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Lazaro, damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Bwana Yesu iyo damu sasa ipo katika ulimwengu wa roho wangu Mimi! Ninaiachilia iyo damu ya Bwana Yesu juu ya ardhi, naachilia katika anga zote, naachilia juu ya bahari hadi chini ya bahari kaburi lolote uliyezika fikra/akili yangu, hata ikawa ya kwamba nahangaika! Leo pasuka , fumuka sasa kwa damu ya Yesu, kwa Moto wa roho Mtakatifu, kwa tetemeko la Mungu, fumuka kaburi, kaburi lililo kamata kibali Katika Fikra/Akili, nakupasua sasa! Nakufumua sasa! Kwa damu ya Yesu! Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu ipite kila mahali sasa ikakulocate! Damu ya Yesu ya Kimbingu iko kinyume nawe sasa kaburi, Damu ya Yesu ya vita. Damu ya Yesu ya kufumua mauti! Mauti kwa damu ya Yesu fumuka, mauti ya Fikra, mauti ya akili nakufumua sasa kwa damu ya Yesu! Naharibu kabisa kazi zenu tokea Leo kwa damu ya mwanakondoo katika jina la Yesu Kristo.

Wewe uliyezika kufanikiwa/ kupiga hatua/ kufika kwangu, katika makaburi ya ulimwengu wa roho, na mwili, eee madhabahu ya makaburi popote ulipo katika jina la Yesu, nakupasua kwa Moto sasa! Naharibu kazi zenu kwa damu ya Yesu! Makaburi yote yaliyoshikilia kufanikiwa/kupiga hatua/kufikia mwisho Kwangu fumuka sasa Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Lazaro, damu ya Yesu iliyofumua kaburi la Bwana Yesu iyo damu sasa ipo katika ulimwengu wa roho wangu Mimi! Ninaiachilia iyo damu ya Bwana Yesu juu ya ardhi, naachilia katika anga zote, naachilia juu ya bahari hadi chini ya bahari kaburi lolote uliyezika kufanikiwa/kupiga hatua/kufika kwangu yangu, hata ikawa ya kwamba nahangaika! Leo pasuka , fumuka sasa kwa damu ya Yesu, kwa Moto wa roho Mtakatifu, kwa tetemeko la Mungu, fumuka kaburi, kaburi lililo kamata kibali Katika kufanikiwa, kibali cha kupiga hatua, nakupasua sasa! Nakufumua sasa! Kwa damu ya Yesu! Kwa damu ya Yesu! Damu ya Yesu ipite kila mahali sasa ikakulocate! Damu ya Yesu ya Kimbingu iko kinyume nawe sasa kaburi, Damu ya Yesu ya vita. Damu ya Yesu ya kufumua mauti! Mauti kwa damu ya Yesu fumuka, mauti ya kutokufanikiwa, mauti ya kutokupiga hatua nakufumua sasa kwa damu ya Yesu! Naharibu kabisa kazi zenu tokea Leo kwa damu ya mwanakondoo katika jina la Yesu Kristo.

Baba naachilia damu ya Yesu ya Kristo ya ulinzi sasa juu yangu nyumba yangu, kazi yangu familia yangu. Na Mali zangu na mambo yote yanayonizunguka na watu

wangu wote wa karibu. natamka katika jina la Yesu kila mlango wa malipizi na visasi juu yangu Mimi au watu wanaonizunguka au vitu

vinavyonizunguka kutokufanikiwa sasa katika jina la Yesu,  Kwa damu ya Yesu Kristo Kwa damu ya Yesu Kristo! Kwa damu ya Yesu Kristo! Amen

*Rudia Mara 7 kila siku, endelea nayo haya Maombi kwa mda mrefu, utaanza ona mabadiliko. 

JINA LAKE MUNGU LIBARIKIWE!
 *kama hujaokoka ndugu chukua uamuzi leo umpe Yesu maisha yako. Kuokoka nikukubali Yesu atake control ya maisha yako ya kiuchumi,ndoa,kazi zako biashara zako, maisha yako ya kiroho, na mambo yote ya kiujumla, ni kumruusu Yesu atake charge ya maisha yako.kumruusu roho wa Mungu apige hatua na kuokoka si kubadili dini. Huwezi mshinda adui ukiwa upande wake,Hivyo chukua hatua leo ndugu, ukae upande salama kwa Yesu. Mimi ndugu yako Joseph Ntandu

josephntandu@gmail.com,0713297066

Comments

Popular posts from this blog

MAOMBI HATARI YA KUVUNJA UCHAWI WA MAFUNDO

MAOMBI YA KUFUNGUA KIBALI CHA  NAFASI YA KAZI

MAOMBI YA KUHARIBU ROHO YA KUCHELEWESHA