MAOMBI~ ROHO MTAKATIFU KUKUSAIDIA KUMSIKIA KWAKO MUNGU NA KUTEKELEZA MAAGIZO YOTE YA MUNGU.
Katika kitu kinachochelewesha watu katika wokovu katika kuvuka ni uwezo wa kumsikia Mungu. Na kufuata maagizo ya Mungu yote.Adui shetani anapambana Sana ili usije kuwa msikizaji mzuri wa sauti ya Mungu Na kuitambua. Na kufuata maagizo ya Mungu. Maana ukifanikiwa hapo tayari umechomoka.
Roho Mtakatifu amenipa dozi yake. Ukifuata Roho Mtakatifu atatumia Maombi hayo kukusaidia kumsikia Mungu Na kufuata maelekezo yake ili uweze kufanikiwa.Kumbuka wengi wanataka solution za matatizo Yao. Wachache wanataka kumsikia Mungu anasema nini kuhusu matatizo Yao. Na kutaka maelekezo. Na kumwomba Roho Mtakatifu kuwasaidia ili wayatekeleze. Ni vita kubwa kumsikia Mungu. Na ni vita kubwa kutekeleza maagizo ya Mungu. Maana ukifanikiwa hapo tayari umevuka Kila maeneo.
Na wengi wananiambia Mtumishi ninataka niwe msikizaji wa Mungu Na kumtii. Msomaji wa neno. Lakini nashindwa nifanyaje? Maombi yafuatayo Roho Mtakatifu atayatumia kukusaidia hayo yote. Ili uyaweze kazi yake ni kukusaidia ili uweze yatekeleza. Hallelujah
Na ukiomba kwa uamimifu Na kufuata maelekezo yote mda Si mrefu utaanza kuona mabadiliko ndani yako. Bwana Yesu asifiwe sana
Maombi~ Roho Mtakatifu kukusaidia kumsikia kwako Mungu na kutekeleza maagizo yote ya Mungu.
Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, ninatubu Na kuomba Rehema uovu wowote Mungu mbele zako, dhambi yoyote, makosa yoyote eeh Mungu nisamehe nirehemu katika jina la Yesu.
Mahali popote Mungu nilipoenda nje ya
mapenzi yako ninatubu ninaomba Rehema katika jina la Yesu. Baba yarehemu mawazo yangu, matendo yangu, maneno yangu katika jina la Yesu.
Ninaachilia damu ya Yesu ya utakaso juu yangu sasa katika jina la Yesu. Ee Mungu kwa damu iyo ninaomba unitakase kwa damu ya Yesu ya ondoleo la dhambi. Ninaachilia damu ya Yesu ya agano jipya
ya uondoleo la dhambi juu mwili wangu roho yangu Na nafsi yangu. Ninatubu Na kuomba Rehema Katika jina la Yesu. Sababu yoyote Mungu ya wewe kutokusikia Maombi haya ninatubu
ninaomba Rehema katika jina la Yesu, nioshe nisafishe kwa damu ya mwanao Yesu Kristo ya dhamani katika jina la Yesu. Baba ninatubu ninaomba Rehema kwa ajili kutokusikia sauti yako.
Kuisikia Na kutokufuata maagizo yako. Kuyafuata lakini kwa masharti au kwa mipaka kwa uasi huo Na dhambi iyo ikamsabisha Roho wako Mtakatifu kukaa kimya. Baba ninatubu Na kuomba
Rehema kwa kupishana Na maelekezo ya Roho Mtakatifu, kubishana Na Roho wako Mtakatifu, kumkatalia maelekezo yako. Hata ikasabisha kukwama nilipo kwama. Ee Mungu Mtakatifu wa Israeli nirehemu
nisamehe ninatubu ninaomba Rehema. Nirehemu kwa kufungua masikio yangu Na macho yangu upande wa adui zaidi ya kwa Roho wako Mtakatifu katika jina la
Yesu. Ninatubu ninaomba Rehema kwa
kujiconnect Na mitandao ya kuzimu kwa kujua au bila kujua kwa Kula Na kunywa, kwa kusikiza, kwa kuona, kwa njia ya ndoto maono, kila mlango uliopitisha
nguvu ya mauti Baba ninatubu Na
kuomba Rehema kwa jinsi ambavyo milango imefunguka kwa adui Na kusababisha nguvu ya mauti kufanya kazi kinyume na utayari wa kumsikia kwangu Mungu, na kuyatii maagizo yake. Maana
Mungu hakuna aliyewahi kuvuka bila kuwa msikivu wa sauti yako Mungu. Na
mtii wa maagizo yako. Katika jina la Yesu ninanyunyiza damu ya Yesu ya agano jipya katika malango yangu yote ya rohoni
yanayohusika na kumsikia Mungu. Na kufuata maagizo Na kuyatekeleza yote. Nanyunyiza damu ya Yesu katika lango la miguu Na nyayo za miguu. Lango la macho ya nje Na ya rohoni. Lango la
masikio ya nje Na ya rohoni. Nanyunyiza
damu ya Yesu ya agano jipya lango la maneno, lango la mikono, fikra akili Na ufahamu katika jina la Yesu. Ninanyunyiza damu ya Yesu lango la uzazi tumbo la
mama, lango la uzazi kiuno cha Baba, lango nafsi, lango la ardhi napoishi, kutembea au kufanya kazi zangu, lango la sehemu ninapoabudu ninanyunyiza damu ya Yesu, ninanyunyiza damu ya Yesu lango
moyo, lango la kuomba, kusifu&kuabudu, lango la kusoma neno la Mungu Na kutafakari, lango la kutoa sadaka ninanyunyiza damu ya Yesu ya agano jipya, lango la ardhi yoyote yenye taarifa
lango ninanyunyiza damu ya Yesu, lango lolote linalopitisha urithi mbaya unaoweka ukuta wa kumsikia Mungu Na
kumtii Mungu ninanyunyiza damu ya Yesu ya agano jipya katika jina la Yesu, milango
yote ya siri ambayo adui anaitumia , kuta au misingi yangu ninanyunyiza damu ya Yesu ya agano jipya. Kwa damu iyo sasa kila mauti mlangoni nguvu ya mauti ya kunifanya nishindwe kumsikiza Mungu Na
kufuata maagizo yake ninaiharibu kwa damu ya Yesu. Damu ya Yesu ya hukumu iwe juu ya hao walinzi wa kipepo,
wasimamizi wa kipepo, watekelezaji, wasimamizi wote wanaofanya kazi
kutumia nguvu ya mauti kinyume Changu damu ya Yesu ya agano jipya iwe juu Yao sasa kwa mamlaka ya jina la Yesu. Ninatengua viapo vya giza vinavyofanya kazi kupitia nguvu ya mauti kwenye hayo
malango yangu, mikataba ya giza, maagano ya giza, wakfu wa giza, sadaka za giza, alama za uaminifu za giza,
chochote walichoniunga nacho ninatengua kwa damu ya Yesu ya agano
jipya, ninabatilisha hukumu hizo za kipepo, hukumu zilizotolewa Na wachawi, washirikina, waganga wa kienyeji, wowote wale wanahusika kunihukumu kunilaani ili nishindwe msikiza Mungu Na
kufuata maagizo ya Mungu. Ninabatilisha mashauri Yao kwa damu ya Yesu. Ninabatilisha hukumu zao, mashitaka Yao. Laana zao kwa damu ya Yesu ya agano jipya katika jina la Yesu.ninabatilisha iyo
nguvu ya mauti kinyume nami ninainyunyizia damu ya Yesu ya agano jipya katika jina la Yesu. ROHO MTAKATIFU ninakutambua wewe Kama msaidizi wangu Na bila wewe siwezi
jambo lolote! Asante kwa uaminifu wako, Asante kwa msaada wako, Asante kwa kunitia katika kweli yote, Asante kwa kunijulisha mambo yajayo.
2 Korintho 13:14 inasema Neema ya
Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Ninajiconnect Na Hili neno kwa damu ya Yesu. Ninajiconnect Na Neema ya Bwana wetu Kristo kwa damu ya Yesu,
ninajiconnect Na Upendo wa Mungu Baba kwa damu ya Yesu, ninajiconnect Na ushirika wa roho Mtakatifu kwa damu ya Yesu. Roho Mtakatifu ninakuomba katika jina la Yesu uboreshe ushirika wangu Na
wewe kwa damu ya Yesu katika jina la Yesu. Mungu ninakuomba ufungue masikio yangu ya ndani Na ya nje kwa damu ya Yesu. Ufungue macho yangu ya ndani Na nje kwa damu ya Yesu katika jina
la Yesu. Mungu Baba ninakuomba utahiri moyo wangu sasa kwa damu ya Yesu, Baba ninaomba ufungue akili yangu sasa kwa damu ya Yesu nipate kuyaelewa Na maandiko, ninaomba Roho Mtakatifu kwa
damu ya Yesu niongezee kiu ya kusoma neno, niongezee kiwango cha kuomba kwa damu ya Yesu, nipe kusikia sauti ya neno la Mungu kwa damu ya Yesu, nipe utii wa kuyafuata maelekezo ya Mungu
yote kwa damu ya Yesu, imeandikwa si kwa uwezo wala kwa nguvu Bali kwa Roho yangu nisaidie Roho Mtakatifu kunena kwa lugha kwa mda mrefu, nisaidie Roho Mtakatifu niweze kukujua wewe zaidi,
kumjua Yesu zaidi, kukujua wewe Roho Mtakatifu zaidi katika jina la Yesu. Roho Mtakatifu ninakuruusu kwa damu ya Yesu Na kwa jina la Yesu ungoe kila pando linanizuia kumsikia Mungu, kumtii Mungu,
na kuyafuata maelekezo yake yote kwa damu ya Yesu. Hata vile vitu nivipendavyo Roho Mtakatifu Kama kwako havina maana basi vingoe maana haviwezi nisaidia katika jina la Yesu. Roho
Mtakatifu nipe kusikia nipe kuelewa nipe kukubali nipe kuchukua hatua nipe kutii Na kuyafuata maagizo yote ya Mungu ninaposoma neno lake, ninapolisikia neno katika jina la Yesu nimeomba Ameen.
*fanya Maombi haya kwa mda wa siku 21 asubuhi ukiamka tuu. Na jioni unapojianda kulala. Baada ya Maombi haya chukua biblia soma waefeso 1-17-23, yageuze ni Maombi yako binafsi Kama ni wewe unaomba soma kwa sauti ujisikie. Kisha baada ya hapo waweza endelea Na shughuli ingine. Ukifanya kwa uaminifu LAZIMA utaona mabadiliko makubwa.
kama hujaokoka ndugu chukua uamuzi leo umpe Yesu maisha yako. Kuokoka nikukubali Yesu atake control ya maisha yako ya kiuchumi,ndoa,kazi zako biashara zako, maisha yako ya kiroho, na mambo yote ya kiujumla, ni kumruusu Yesu atake charge ya maisha yako.kumruusu roho wa Mungu apige hatua na kuokoka si kubadili dini. Huwezi mshinda adui ukiwa upande wake,Hivyo chukua hatua leo ndugu, ukae upande salama kwa Yesu.Mimi ndugu yako Joseph Ntandu
Mwl Joseph Ntandu
Mwz 1-3 Mungu akasema iwe Nuru ikawa Nuru

Muhimu:
Mungu amenipa maono ya kwenda live kupitia radio, na televison, ili masomo haya na maombi tuyapate live, yaani audio na video tutaanza na online radio, online tv, kupitia internet, Pia tutakuwa na live prayer line ya kuhudumia watu, Mungu amesema nami kwa habari ya studio kwa ajili ya huduma iyo. Nikupe nafasi ya kupanda mbegu yako kwa ajili ya studio hiyo. Na Mungu atakukumbuka sadaka yako injili itakapoenda duniani kote. kufungua, kuponya, kuokoa, kuinua. Kama unataka kushiriki baraka hizi uko ndani ya Tanzania au nje ya Tanzania. basi tumia hizo namba hapo chini kutuma sadaka yako. kama uko nje ya Tanzania tumia izo namba nitakupa maelekezo
josephntandu@gmail.com,+255713297066, +255765377506Mwl Joseph Ntandu
Mwz 1-3 Mungu akasema iwe Nuru ikawa Nuru
Comments
Post a Comment